JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 13

Mahakama ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga imemhukumu jela kifungo cha maisha, Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula, Kata ya Ngomeni kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo juzi, Hakimu Mkazi wa Mahakama…

Safari treni ya kisasa kuanza rasmi Julai 25

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa safari ya treni ya mwendokasi ( SGR) kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma inatarajiwa kuanza Julai 25, 2024. Mbarawa amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kukagua…

Dereva wa Shabiby akamatwa kusababisha ajali iliyojeruhi 22

 POLISI mkoani Morogoro inamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU, Said Malugula akituhumiwa kusababisha ajali iliyojeruhi abiria 22, baada ya basi hilo kupinduka eneo la Kihonda kwa Chambo mkoani Morogoro. Kamanda wa…

Swahiba wa Nyerere apongeza uongozi wa Samia akitimiza miaka 99

Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, leo Jumamosi, Mei 25, 2024. Balozi Nchimbi alikwenda nyumbani kwa Mzee Songambele Mwananyamala jijini Dar es Salaam kumfikishia salam za pongezi kutoka…

Wanne wakamatwa wakisafirisha punda 46 nje ya nchi

Na.Abel Paul,Jeshi la Polisi- Longido Arusha Jeshi la Polisi kikiosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne pamoja na mifugo aina ya…