JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TMA yawakubusha wahandisi kuzingatia huduma za hali ya hewa katika utekelezaji wa miradi

Wahandisi nchini wamekumbushwa umuhimu wa huduma za hali ya hewa sambamba na kuchangia gharama za upatikanaji wa huduma hiyo katika utekelezaji wa miradi yao. Hayo yalizungumzwa na Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt….

Mbunge Ole Lekaita ampa tano Rais Samia

Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara…

Hapi : Viongozi waliopo madarakani wawajibike kwa wananchi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa CCM, Ally Salum Hapi, akiwa Kibaha Vijijini, amesisitiza umuhimu wa viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi waliowapa nafasi ya uongozi. Hapi ameonya kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea…

Jeshi la Polisi laanza uchuguzi wa aliyeshushwa kwenye basi

Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi…

Tanzania, Uingereza kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Mhe. Marianne Young. Lengo…

Watu 12 wafariki 33 wajeruhiwa kwa ajali Mbeya

Rc atoa maagizo kwa TANROADS, LATRA na Polisi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Watu 12 wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi lenye namba za usajili T 282 CXT mali ya Kampuni ya A-N COACH lilokuwa likitokea Mbeya…