JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Prof. Janabi : Tuwe na mpango madhubuti wa kukabiliana na majanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi ametoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana ili kuwa na mpango madhubuti wa kukabiliana na majanga ya asili au yale yanayosababishwa na binadamu ili…

Watumishi wawili watuhumiwa kughushi mfumo wa mapato

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, Arusha Tuhuma za kughushi nyaraka, uchepushaji wa makusanyo ya Serikali na ubadhirifu wa fedha za umma zimechukua sura mpya baada ya watumishi wawili kudaiwa kuhusika kutengeneza namba bandia ya mlipakodi na kampuni hewa ya kulipia makusanyo…

Polisi waendelea kudhibiti madereva kidijitali, watatu mbaroni

Na Mwandishi, Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linaendelea kutumia mifumo ya Tehama katika kudhibiti makosa ya usalama Barabarani ambapo Jeshi hilo limebainisha kuwa kupitia mfumo huo mei 27 muda wa alfajiri limewabaini madereva watatu…

Bashungwa akagua maonesho ya sekta ya ujenzi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika…

‘Maofisa ardhi wamejigeuza madalali’

MBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo, amesema baadhi ya wataalamu wa ardhi mkoani Dodoma, wamejigeuza madalali na wanashiriki kunyang’anya wananchi wanyonge ardhi. Akichangia bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo…