JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais Mwinyi awaita wawekezaji wa Ufaransa

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika maeneo mbalimbali. Dk Mwinyi amesema hayo leo Mei 29,2024 katika Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty Zanzibar alipofungua mkutano wa majadiliano ya…

Wasanii wamshukuru Rais Dkt Samia kuwajumuisha ziara zake nje ya nchi

Na Magrethy Katengu, Jamhuri Media, Dar es Salaam WASANII wa Tasnia ya Filamu Tanzania (BONGO MOVIE) wanamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kauli yake ya kuanza kuwajumuisha Wasanii mbalimbali kwenye ziara zake rasmi…

Serikali yatoa bilioni 3.3 kujenga ofisi ya halmashauri Mbinga

Na Albano Midelo,Mbinga SERIKALI imetoa shilingi bilioni 3.3 kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Joseph Rwiza wakati anatoa taarifa ya mradi huo kwa…

Serikali kuwachukulia hatua kali vishoka wanaoshikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni…

DCEA Kanda ya Kaskazini yateketeza gunia 21 za bangi kavu Arumeru

Na Prisca Libaga, JamhuriMedia,Arusha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Arumeru pamoja na Taasisi muhimu zinazohusika wakati wa zoezi la uteketezaji wa vielelezo vya…