JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Samia kusafiri kwa SGR Dar-Dodoma

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kusafiri kwa treni ya reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma Agosti Mosi, mwaka huu. Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano cha Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema Rais…

Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wa kimataifa wa barabara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la tisa la Kimataifa la Usafiri Endelevu na Ubunifu Bora ambao umeandaliwa na Chama cha Wataalamu wa Barabara (TARA). Mkutano huo utakaofanyika jijini Arusha wiki ijayo utafunguliwa na Waziri…

Msafara wa wachezaji wawasili Paris kushiriki Olympic

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kundi la kwanza la Timu ya Tanzania itayoshiriki Michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa limewasili salama jijini Paris asubuhi ya jana. Kundi hilo la kwanza lina waogeleaji wawili, Sophia Anisa Latiff na Collins Phillip…

Meli yenye bendera ya Tanzania yazama Taiwan

Maafisa wa uokoaji nchini Taiwan wanatafuta meli ya mizigo iliyokuwa na wafanyakazi tisa ambayo imezama kwenye pwani yake ya kusini. Meli hiyo yenye bendera ya Tanzania ilikuwa imetoka katika bandari ya kusini ya mji wa Kaohsiung wakati Taiwan ilipokumbwa na…

Meli za kivita kutoka China zawasilia nchini kuadhimisha miaka 60 ya JWTZ

Meli tatu za kivita za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China  zimewasili katika Bandari ya Dar es Salaam zikiwa na wanajeshi kadhaa kwa ajili ya kushiriki mazoezi ya pamoja na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikiwa ni sehemu  maadhimisho…

Ruto ateua vigogo wa upinzani kuwa mawaziri

Rais wa Kenya William Ruto amewateua vigogo wanne wa upinzani katika baraza lake la mawaziri, ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja wa maandamano ya kupinga serikali. Rais wa Kenya William Ruto amewateua vigogo wanne wa upinzani katika baraza lake la…