JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Bunge lapitisha bajeti Wizara ya Ujenzi kwa asilimia 100

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja…

Mwonekano kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Ifakara

Muonekano wa Kituo cha kupokea Kupoza na kusambaza Umeme kilichohengwa wilayani Kilombero Ifakara kinatarajiwa kuzinduliwa kesho, Mei 31 na Dkt. Doto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati pamoja na Christine Grau, Balozi wa Umoja wa Ulaya. Kituo…

Wizara ya Maliasili na Utalii yapongezwa kwa onesho maalum la kutangaza vivutio vya utalii

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wa kuandaa Maonesho maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii yenye lengo la kuelimisha wabunge kuhusu masuala ya uhifadhi…

TANESCO Ruvuma yawatahadharisha wananchi kuwa makini na matapeli

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Mbinga AFISA uhusiano wa huduma kwa wateja TANESCO Ruvuma, Allan Njiro, amewatahadharisha wananchi wa vitongoji vya Matemanga na Mkurusi vilivyopo katika kata ya Kigonsera Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijijini mkoani Ruvuma kuwa makini na watu…

Bodi ya Mfuko wa Barabara yakusanya mapato kwa asilimia 77

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24. Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi…