Year: 2024
Serikali yaombwa kuwawezesha wakulima vijijini
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amemshauri Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa mipango ya uwezeshaji wakulima inapaswa kujikita vijijini ili kuwawezesha wakulima kuongeza tija katika uzalishaji. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Banemhi Jimbo la Bariadi,…
Iraq: Roketi zafyatuliwa kuelekea kambi ya jeshi la Marekani
Maafisa wa usalama wamesema roketi kadhaa zimefyetuliwa kuelekea kambi ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Iraq. Duru za usalama za Iraq zimeeleza kuwa roketi nne zimeanguka karibu na kambi ya jeshi ya Ain al-Assad iliyoko mkoa wa Anbar….
Wazazi nchini watakiwa kuwalinda watoto na kuwapa lishe bora
Kamishna wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Lyabwene Mtahabwa amewataka wazazi na Wadau kote nchini kuwalinda watoto kwani ndio Tanzania ya kesho. Mtahabwa ameyasema hayo wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Utoaji wa Chakula na Lishe Shuleni…
Viongozi wa Halmashauri watakiwa kusimamia miradi kwa weledi
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Zainab Katimba amezielekeza halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa shule mpya maalum za wasichana za mkoa kuhakikisha wanaongeza usimamizi wa mradi hiyo ili kuendana na thamani ya fedha. Ametoa maelekezo hayo Julai…
CCM Njombe, RC Mtaka waridhishwa na ujenzi barabara ya kiwango cha zege Itoli – Ludewa – Manda
Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe wameupongeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa barabara ya Itoni – Lusitu kwa kiwango cha zege yenye urefu wa kilometa 50 ambayo…
Bashungwa: Tumejipanga kuifungua Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads), inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) – Mwenge…