JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mahakama yamwachia huru aliyekuwa DED Mafia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Mafia  Mahakama ya Wilaya ya Mafia imemuachia huru mshtakiwa aliyekuwa  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Kassim Seif Ndumbo baada ya kukosekana ushahidi kufuatia Kesi ya Jinai namba 15768/2024 iliyokuwa ikimkabili.  Mahakama imechukua maamuzi…

Biteko ataka huduma bora kwa wananchi

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewakumbusha Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuiishi Kauli Mbiu ya Sekta ya Nishati ambayo ni Maneno Kidogo Vitendo Zaidi ili kutoa huduma iliyobora kwa wananchi. Amesema hayo…

Pwani yapata wauguzi 120 kukabiliana changamoto ya upungufu wa wauguzi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani MKOA wa Pwani umepatiwa Wauguzi 120 ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa kada hiyo. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na Katibu Tawala Mipango na Uratibu wa Mkoa wa Pwani Edina Kataraiya ambaye alimwakilisha Naibu Waziri wa…

Dk Shukia : Dira ya Taifa ya maendeleo ni mali ya wananchi

Na Mwandishi Wetu,, JammhuriMesia, Arusha. Serikali imeweka mazingira rafiki na thabiti kwa makundi yote katika jamii kufikiwa katika ukusanyaji maoni ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha, Mwanazuoni na Mhadhiri kutoka…

Tanzania mwenyeji kongamano Umoja wa Mataifa la utalii wa vyakula vya asili Afrika

Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo…