JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

‘Uchumi wa buluu una faida kubwa’

Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Mohamed Sheikh amesema Uchumi wa Buluu unafaida kubwa katika kuinua uchumi wa taifa hivyo kila mmoja anapopata fursa ya kutoa ujuzi wake anatakiwa kufanya hivyo kwa faida ya…

Waziri Kombo atembelea maonesho ya kimataifa ya Biashara CUBA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo tarehe 05 Novemba, 2024 ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Havana. Maonesho hayo yamewakutanisha wafanyabiashara wa ndani na Kimataifa ambao wanatangaza huduma na bidhaa zao…

Chande azindua misheni ya uangalizi wa Uchaguzi ya SEOM jijini Port – Louis

Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya SADC (SEOM) katika Uchaguzi Mkuu wa Mauritius Jaji Mkuu (Mstaafu) Mohammed Chande Othman, amezinduamisheni hiyo jijini Port-Louis, Mauritius, kwa niaba ya Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC na…

Marekani imefuta deni dola bilioni 1 Somalia

Serikali ya Marekani imeamua kufuta deni la zaidi ya dola bilioni 1 ambazo zinadaiwa kwa serikali ya Somalia. Makubaliano ya kufuta deni hilo yalisainiwa kati ya Waziri wa Fedha wa Somalia Bihi Egeh na Balozi wa Marekani nchini Somalia Richard…

Msuva arudishwa Stars

Na Isri Mohamed Mchezaji Simon Msuva amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kesho Novemba 07, kujiandaa na mechi mbili za mwisho za kufuzu AFCON dhidi ya Guinea na Ethiopia. Msuva alizua taharuki baada ya jina…

Trup ajitangaza mwenyewe kuwa mshindi kiti cha urais Marekani

Wakati zoezi la kupiga kura za Urais nchini Marekani, Mgombea Donald Trump wa chama cha Republican amejitangaza mwenyewe kama mshindi, kufuatia matokeo yanayoonesha kuwa kuwa yuko mbele kumzidi mpinzani wake Kamala Harris. Trump ametangaza kushinda tena Urais wa Taifa hilo…