Year: 2024
Serikali haikubaliani na vitendo viovu dhidi ya watoto – Masauni
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema kamwe haikubliani na haitakubaliana na vitendo vya kihalifu wanavyofanyiwa baadhi ya watu wasio na utu wala ustaarabu dhidi ya watoto ikiwemo ubakaji,ulawiti, mauaji kwani…
Wananachi Mtakanini wilayani Namtumbo waipa tano Serikali kuwasogezea huduma za kibingwa za afya
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Namtumbo Wananchi wa Kijiji cha Mtakanini kilichopo katika Kata ya Msindo Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kuona umuhimu wa kusogeza huduma ya Madaktari bingwa kwa watu wanaosumbuliwa na magonjwa ya…
Mgombea urais TLS, Nkuba ajipanga kuleta mabadiliko ndani ya chama endapo atachaguliwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea wa urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),Sweetbert Nkuba ameelezea namna ambavyo amejipanga kuleta mabadiliko ndani ya chama hicho endapo atachaguliwa kushika nafasi hiyo. Moja ya mipango yake amesema ni kuboresha miundombinu…
Akatwa kiganja cha mkono kwa wivu wa mapenzi
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Katente wilayani Bukombe, mkoa wa Geita, Rehema Paulo (26) amejeruhiwa na kitu chenye ncha kali kichwani, mkono wa kushoto na kutenganishwa kiganja cha mkono wa kulia chanzo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi. Kamanda wa Polisi…
Rais Samia asisitiza umuhimu wa uhuru wa habari
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa uhuru wa habari na kuvitaka vyombo vya habari nchini vizingatie mipaka ya uhuru huo. Rais Samia alitoa kauli hiyo jana Ikulu, Dar es Salaam, baada ya kumuapisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia…
Majaliwa achangisha milioni 900 ujenzi wa Kanisa Kuu Lindi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameendesha harambee na kuchangisha sh. milioni 928.67 za ujenzi wa kanisa kuu tarajiwa la Mt. Andrea Kagwa la Jimbo Katoliki la Lindi. Kati ya fedha hizo, sh. milioni 464.3 ni fedha taslimu na nyingine kati ya…