JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Prof. Makubi bosi mpya Benjamini Mkapa

SEOUL, KOREA: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo mkoani Dodoma. Kabla ya uteuzi huu Prof. Makubi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). Prof. Makubi anachukua…

IGP Wambura: Nishani zinazotolewa zitaleta ari ya uwajibikaji

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura amesema nishani zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitaleta ari ya uwajibikaji kwa Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Jeshi la Polisi kwa kutekeleza majukumu ya ulinzi na usalama…

Uwekezaji wa kweli ni katika sekta ya nishati safi ya kupikia – Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameiambia dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi…

Idara/vitengo vya mazingira vyasisitizwa kutekeleza majukumu yao

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Idara na Vitengo vya Mazingira katika wizara na taasisi za Serikali kuendelea kutekeleza majukumu yao ya…

Nchimbi ahitimisha ziara kwa kishindo Arusha

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa eneo la USA River, Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha, aliposimama kuwasalimia akiwa njiani kutokea Arusha mjini, akihitimisha ziara ya siku tatu mkoani humo,…