JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Gavana Bwanku akagua ujenzi bweni la wasichana sekondari Bujugo, achangia mifuko saba ya saruji

Afisa Tarafa (Gavana) wa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku leo Jumatano Juni 05, 2024 akiambatana na Diwani wa Kata ya Bujugo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini Mhe. Privatus Mwoleka,…

Siku ya Mazingira Duniani, TAWIRI yabainisha mchango wa wadudu kwenye mazingira

Na Mwandiahi Wetu, JamhuriMedia, Dodooma Ikiwa leo tarehe 05.06.2024 ni maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambapo Kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma, Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imebainisha mchango mkubwa wa wadudu mbalimbali akiwemo nyuki katika Mazingira. Akitoa elimu…

John Bocco: Shuja anayeishi, rekodi yake haitasahaulika

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Siku moja ukipata nafasi ya kukaa na mjukuu wako kupiga nae stori ya mashujaa wa soka la Tanzania basi usiache kumuelezea kuhusu John Raphael Bocco, ambaye jana amestaafu rasmi kuutumikia mpira kama mchezaji…

Ifanyeni sekta ya uvuvi Afrika kuchangia pato la taifa – Dk Biteko

📌 Afungua rasmi mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi Afrika 📌 Ataka changamoto za uvuvi Afrika kutatuliwa 📌 Asema sekta ya uvuvi inachangia sh.trilioni 3.4 nchini 📌 Serikali kuendelea kuunga mkono sekta ya uvuvi nchini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,…

Korea yatoa bilioni 422 ujenzi wa Hospitali ya Binguni

Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Shilingi bilioni 422.16 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Binguni, Zanzibar. Mkataba wa Mkopo huo umesaimiwa jijini Soeul Juni 05, 2024 na…

Mazingira Hifadhi ya Kitulo yachelewesha pundamilia, swala kuongezeka

SERIKALI imesema wanyamapori waliohamishiwa Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, wamechelewa kuzaliana kutokana na kubadili mazingira ya awali, lakini baada ya miili kukubaliana na mazingara hayo sasa wameanza kuzaliana. Akijibu swali bungeni leo Juni 5, 2024 kwa niaba ya Waziri wa…