Year: 2024
Serikali yaombwa kutambua mbegu asili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mtandao wa Bayoanuai Tanzania umeomba serikali kufanya mabadiliko kwenye sheria ya Mbegu ya Mwaka 2003 na mabadiliko yake madogo ya Mwaka 2012 ili kuipa nafasi mbegu ya asili ya mkulima kutambulika na kuingizwa sokoni kama…
Hatua hii ya HESLB kutoa mafunzo ya Tehama ni ya kupongezwa
Na Dk. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Dodoma Ukosefu wa ajira ni moja ya tatizo linaloikabili nchi yetu na kimsingi si Tanzania pekee bali na nchi nyingi duniani. Kutokana na tatizo hili, hatua madhubuti na stahiki zimekuwa zikichukuliwa na wadau wote muhimu…
Waziri Kijaji abainisha mikakati ya mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema imejipanga kujenga kituo cha kurejeleza taka za plastiki pamoja na kuhifadhi na kuchambua taka ngumu kwa ajili ya kutumika kama malighafi ya viwanda. Kituo hicho…
Zungu mgeni rasmi mahafali ya tisa Chuo cha Furahika
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano la Tanzania mbaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Azzan Zungu anatarawa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Mahafali ya 9 Chuo cha Furahika Education…
Marekani kuipa Ukraine msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.7
Marekani itatuma msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola bilioni 1.7 kwenda Ukraine. Msaada huo unajumuisha makombora ya mifumo ya ulinzi, risasi, mabomu na aina nyingine ya vilipuzi vya kushambulia vifaru na meli za kivita. Hayo yalielezwa na maafisa wa…
Maelefu waandamana Venezuela kupinga ushindi wa Rais Maduro
Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimerusha mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira dhidi ya raia waliokuwa wameandamana kwa sababu ya matokeo ya uchaguzi wa Jumapili yenye utata. Maelfu ya watu walikusanyika katikati mwa Caracas Jumatatu jioni, wengine wakitembea…