JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Ismail Haniyeh alikuwa nani?

Alizaliwa katika kambi ya wakimbizi huko Gaza mwaka 1963, Ismail Haniyeh alikuwa mwanachama muhimu wa Hamas tangu kuanzishwa kwake. Alifungwa na Israel mara kadhaa na wakati fulani alifukuzwa kwenda kuishi Lebanon kusini kwa miezi sita. Mnamo 2003, alinusurika jaribio la…

Kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh auawa

KIONGOZI wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimesema. Hamas imesema Haniyeh ameuawa katika shambulio la Israel kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria…

Meli ya mizigo kutoka China yatia nanga bandari ya Tanga

Meli kubwa iliyobeba mizigo ya tani elfu 14 kutoka nchini China imetia nanga katika bandari ya Tanga Kwa mara ya kwanza  ikiwa na shehena za mizigo mbalimbali ikiwemo magari 300. Meli hiyo ya kampuni ya Seefront Shipping Service Ltd, imebeba…

Rais Samia kuzindua rasmi Reli ya mwendo kasi Dar-Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua rasmi Reli ya mwendokasi(SGR)Agosti Mosi mwaka huu iliyoanza safari zake Julai 25 kutoka Dar Es Salaam hadi Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary…

Dk Biteko awakemea watumishi wanaokwamisha wafanyabiashara

📌 Azindua Sera ya Taifa ya Biashara 📌 Awataka Watanzania kujiandaa kushindana 📌 Norway yampongeza Rais Samia kuagiza marejeo mfumo wa kodi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt….