JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mkumbo: Serikali kuendelea kushirikiana na asasi za kiraia bila kikwazo

Na Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa, Kitila  Mkumbo amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia nchini nakwamba haitakuwa kikwazo kwao katika shughuli zake za kuleta maendeleo, sanjari na kutoa mawazo yatakayojenga zaidi ili…

Vijana watakiwa kutumia vizuri mitandao

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam DIWANI wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Beatrice Edward amewataka vijana kutumia mitandao kujinufaisha na wala sio katika mambo yasiyokuwa na faida. Ametoa wito huo wakati akizungumza kwenye Jukwaa la Usimamizi…

Fk Biteko asisitiza maadili, weledi na uwajibilajo katika ununuzi wa umma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri…

Rostam Azizi atoa tamko kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Dar es Salaam – Mfanyabiashara maarufu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, Rostam Azizi, ameungana na Watanzania wengine kulaani vikali mauaji ya kiongozi wa chama cha Chadema, Mohamed Ali Kibao, yaliyotokea…

Rostam Azizi asikitishwa na kifo cha marehemu Mohamed Kibao

Katika siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia kujirudia tena kwa matukio ya kikatili ambayo yamehusisha kuripotiwa kwa vitendo vya utekaji, utesaji na jana tukashuhudia tukio baya zaidi la mauaji ya kiongozi wa Chadema, Mohamed Ali Kibao. Naungana na Watanzania wema…