JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Urusi, Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita

Urusi na Ukraine zimebadilishana mamia ya wafungwa wa kivita, imesema Wizara ya Ulinzi ya Urusi. Katika makubaliano yaliyosimamiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu, Urusi imesema imetoa wanajeshi 150 wa Ukraine waliokuwa mateka kwa idadi sawa ya wanajeshi wa Urusi….

Waziri Simbachawene atoa wito kwa Watanzania kujiandikisha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Na. Lusungu Helela – Mpwapwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe.George Simbachawene ametoa wito kwa Watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la…

Waziri Mkuu amwakilisha Rais kwenye mazishi ya Jaji Mwanaisha Kwariko

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi yaliyofanyika Kondoa, mkoani Dodoma, Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya…

Baraza la Mitihani Zanzibar latoa taarifa ya matokeo darasa la saba 2024

Na Sabiha Khamis,  Maelezo  Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-aziz Mukki amesema kwa mujibu wa matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba ya mwaka 2024 yanaonesha kuwa ufaulu umepanda kwa asilima 1.66 kutoka asilimia 95.00 ya…

Rais Samia amlilia mwanasheria mkuu mstaafu Jaji Werema

“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Mstaafu Frederick Werema. Ninatoa pole kwa familia, Mheshimiwa Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Majaji, ndugu, jamaa na marafiki.  Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awajalie subra na…