Year: 2024
Aziz Ki abeba tuzo nne
Na Isri Mohamed Kiungo wa kimataifa wa Yanga, Stephanie Aziz Ki amebeba tuzo nne usiku wa kuamkia leo katika hafla ya ugawaji tuzo ya wanamichezo bora wa soka kwa msimu uilopita 2023/24 iliyoandaliwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania…
Simba yamtambulisha Mlinda mlango mpya
Na Isri Mohamed Klabu ya Simba imemtambulisha mlinda lango wao mpya, Moussa Camara (25), Rais wa Guinea akitokea klabu ya AC Horoya ya nchini Guinea. Simba imesajili nyanda huyo kuchukua nafasi ya golikipa wao namba mopja, Ayoub Lakred, ambaye atakuwa…
Dk Biteko afunga maonesho ya Nanenane nyanja za juu Kusini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Agosti 2, 2024 amezindua Sherehe za Maonesho ya Wakulima – Nane Nane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na kutembelea mabanda mbalimbali ya maenesho katika katika Viwanja vya…
Rais Samia: SGR siyo ndoto tena
*Azindua treni ya kisasa, vituo vyapewa majina ya marais *Ni treni ya umeme ndefu kuliko zote Afrika, ya tano duniani *Tayari wamekusanya bilioni 3.1, umeme inatumia milioni 1 *Inasafirisha watu 7,000 kila siku, Mama Mosha atoa ya moyoni Na Deodatus…
Iran yaapa kulipiza kisasi kufuatia mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Haniyeh
Rais wa Irani Masoud Pezeshkian anasema ataifanya Israel “ijutie” mauaji ya “uoga” ya Haniyeh, akiongeza kuwa Iran “italinda hadhi ya eneo lake, fahari ya heshima na utu”. Katika taarifa iliyonukuliwa na shirika la habari la AFP, rais wa Iran alimtaja…
Waziri Mkuu ahani msiba wa mama yake mzazi Halima Mdee
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni sanaa na Michezo Gerson Msigwa, alipofika kuhani msiba wa marehemu Bi. Theresia Mdee ambaye ni mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee nyumbani kwake Area D…