JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wahariri wa vyombo vya habari watakiwa kuelimisha jamii umuhimu wa kujiandikisha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Darbea Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaasa wahariri wa vyombo vya habari kuwahabarisha na kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Akizungumza…

Ubalozi wa Tanzania Nigeria, TIC waandaa kongamano la uwekezaji

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Ubaozi wa Nigeria imefanya kongamano kubwa la uwekezaji nchini humo lengo ikiwa ni kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali ndani ya Afrika. Kongamano hilo ambalo lilifanyika kwenye miji ya Lagos na Enugu…

Rais Samia afungua nchi kimataifa

📌 Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa 📌 Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati 📌 Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha ujio wa wawekezaji Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…

Malawi yatangaza siku 21 za maombolezo kifo cha Makamu wa Rais

Malawi imetangaza siku 21 za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Rais wa nchi hiyo Saulos Chilima na watu wengine nane kilichosababishwa na ajali ya ndege.  Siku ya Jumatatu, Chilima na ujumbe wake walikuwa safarini kuelekea kaskazini mwa nchi hiyo…

Tanzania kuendelea kutoa kipaumbele vyanzo mbadala vya umeme

📌 Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika 📌 Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati 📌 Aiomba Ujerumani kuendelea kufadhili miradi ya nishati Na Mwandishi Maalum Naibu Waziri Mkuu na…

Kishindo cha Rais Samia Singida, bilioni 93 zatolewa uwekaji taa, ujenzi barabara na madaraja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi ya uwekaji taa za…