JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

ACT Wazalendo : TAMISEMI kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa inavunja sheria

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kitendo cha Wizara Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inavinja Sheria. Hayo yamesemwa Juni 12, 2024 na Katibu…

Matokeo ya uwekezaji, TPA yavunja rekodi ya kutoa gawio la bilioni 153.9 Serikalini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio hilo limeifanya TPA,…

Aliyeshauriwa kuondolewa kizazi nje ya nchi aokolewa Hospitali ya Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke(TRRH) imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe katika kizazi, maarufu kama myoma. Myoma ni uvimbe usio wa saratani unaojitokeza kwenye kizazi, na hutokea kwa wanawake waliopo katika umri…

Waziri Mavunde azindua Timu ya kuandaa andiko la Visioni 2030

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua Timu itakayoandaa Andiko la maudhui ya Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri katika hafla iliyofanyika Juni 12, 2024 jijini Dodoma. Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri Mavunde amesema kuandaliwa…

Waziri Simbachawane: Kukopa si aibu, ni afya kiuchumi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema mikopo ni moja ya vyanzo vya mapato ya serikali kote duniani, hivyo Tanzania kukopa siyo aibu wala kujidhalilisha, bali ni sifa njema…