JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

BRELA yawaita wakulima kusajili nembo, alama za biashara

NaTatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umetoa wito kwa wakulima kutembelea banda lao lililopo katika maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) ili kuweza kusajili nembo na alama za biashara. Hayo yamebainishwa na Ofisa Usajili…

Tarura yajipanga kuhakikisha wakulima wanayafikia masoko kwa kirahisi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema unaendelea na ujenzi wa barabara na madaraja katika maeneo mbalimbali nchini ili kuhakikisha wakulima wanayafikia masoko kwa haraka. Hayo yamebainishwa kwenye Maonesho ya Wakulima na Wafugaji…

Wanyamapori wanamchango mkubwa katika sekta ya utalii

Na Beatus Maganja,JamuhuriMedia, Dodoma Afisa Mhifadhi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Winniefrida Kweka amesema Wanyamapori waliopo nchini wana mchango mkubwa katika Sekta ya Utali kwakuwa huchangia zaidi asilimia 17 katika pato la Taifa. Winniefrida ametoa kauli…

Watu karibu 100 wafa maandamano ya Bangladesh

TAKRIBAN watu 100 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa jana Jumapili wakati wimbi jipya la maandamano dhidi ya serikali likizidi kuenea kote nchini Bangladesh. Waandamanaji wanamshinikiza waziri mkuu Sheikh Hasina ajiuzulu huku kiongozi huyo akiwashutumu waandamanaji kwa hujuma na kukata…

Wananchi waendelea kupata msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia, kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya wizara ya wizara na sheria. Katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika maonesho ya nanenene jijini Dodoma…

Rais Samia aridhia vituo 75 vya kupoza umeme kujengwa nchini – Kapinga

📌 *Lengo ni kuimarisha upatikanaji umeme katika maeneo yote nchini 📌 Mradi kugharimu shilingi Trilioni 4.42 📌 Vituo nane vyakamilika; sita vipo asilimia 97 Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia…