Year: 2024
TNMC : Jamii ifahamu haki na wajibu wa mgonjwa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma AFISA Uhusiano wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), Ezekiel Nyalusi amesema ni vyema jamii ikafahamu haki na wajibu wa mteja au mgonjwa pindi anapofika kupewa huduma za Afya katika kituo cha kutolea huduma….
Bodi ya Mkonge kuwaunganisha wakulima na masoko
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Mkonge Tanzania (TSB), imesema kuwa imekuwa ikiwaunganisha wakulima wa zao hilo na masoko ili wapate soko la bei nzuri. Hayo yamesemwa na Mkuu sehemu ya Maendeleo ya Mkonge kutoka TSB, Saimon…
Rais Samia awaalika wawekezaji Kilombero, Malinyi na Ulanga
📌 Ni kutokana na uwepo wa umeme wa kutosha katika kituo cha umeme Ifakara 📌 Asema Serikali itaendelea kuhakikisha uwepo wa umeme wa kutosha 📌 Vijiji vyote 110 Wilaya ya Kilombero vyafikiwa na umeme Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Kilombero Rais…
DCEA: Kilimo cha bhangi na mirungi kinaondoa uoto wa asili
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema kuwa moja ya madhara ya Kilimo cha bhangi na mirungi ni kuondoa uoto wa asili. Hayo yamebainishwa na Afisa Elimu kutoka DCEA, Said Madadi…
CPA Kasore: Itumieni VETA kupata ujuzi na kujiajiri
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore ametoa wito kwa vijana na Watanzania kwa ujumla kutumia vyuo vyao ili kuweza kujiajiri. Aidha amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha wakulima…