Year: 2024
AU yaomba vyombo vya habari kuiandika vizuri Afrika, kulinda uhuru wa habari
Mussa Juma, [email protected] Umoja wa Afrika (AU), umeviomba vyombo vya habari barani Afrika kuandika vizuri habari za Afrika ikiwepo masuala ya uhamaji wafanyakazi ndani ya Afrika na nje ya Afrika. Kumekuwepo na ongezeko la uhamaji wa wafanyakazi kutoka watu 17.2…
TCAA: Njooni mjifunze matumizi ya ndege nyuki
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKULIMA na wadau wa mbalimbali wametakiwa kuhudhuria mafunzo pamoja na kuwa na leseni ya uendeshaji wa matumizi ya ndege nyuki maarufu (DRONES) badala ya kutumia vifaa hivyo kiholela. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa…
ERIO: Tembeleeni FCC kupata elimu kuhusu bidhaa bandia
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Ushindani (FCC) imetoa wito Kwa wananchi pamoja Wakulima kuyatumia maonesho ya Nanenane kupita katika Banda lao kupata elimu itakayowasaidia kuepukana na kujishughulisha na bidhaa bandia na vitendo vingine ambavyo haviruhusiwi na…
Mgina: TAEC tuna mchango mkubwa Sekta ya Kilimo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma TUME ya Nguvu za Atomu Tanzania, imetoa wito kwa Wakulima na wananchi kutembelea katika maonesho ya Nanenane ili kuweza kupata elimu kuhusu matumizi ya mionzi. Wito huo umetolewa na Mtaalamu wa Mionzi kutoka Tume ya…
Diwani ahukumiwa miaka miwili jela
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Mahakama ya Wilaya ya Ukerewe imemhukumu Diwani wa Kata ya Illangala Petro Misana Majula, adhabu ya kutumikia kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kukutwa na hatia katika makosa ya Ufujaji, Ubadhirifu pamoja na Matumizi…