JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mwanafunzi NIT abuni mashine ya kusaidia kulea Vifaranga

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWANAFUNZI kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), George Luambano amebuni mashine itakayosaidia kulea vifaranga viweze kukua vizuri. Akizungumza na waandishi wa habari katika banda lao lililopo kwenye Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima…

Wananchi wajionea utekelezaji miradi ya gesi asilia Nanenane

📌 Teknolojia ya Uhalisia Pepe yawa kivutio 📌 Elimu Matumizi ya Nishati Safi Kupikia yatolewa Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma yamekuwa ni sehemu ya wananchi kujionea utekelezaji wa miradi mbalimbali katika Sekta ya…

FCS, TCRA CCC wakubaliana kuimarisha haki za watumiaji mawasiliano

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Asasi ya kiraia Foundation for Civil Society (FCS) na Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) zimewekeana saini ya makubaliano ya miaka mitatu yenye lengo la kuimarisha juhudi za…

TARURA yaeleza umuhimu wa maabara katika ujenzi wa barabara zenye viwango

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma FUNDI Sanifu Mkuu Maabara kutoka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Jacob Manguye amesema kuwa barabara nyingi zinafeli na kushindwa kuwa za kiwango kutokana na watu wengi kutokupima udongo kabla ya kuanza ujenzi….

TAKUKURU Kinondoni yapokea malalamiko 8, yaendelea na mapambano

Na Magrethy Katengu–Jamuhuri media Dar es salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kinondoni imesem katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Aprili hadi Juni 2024 imepokea jumla ya malalamiko 88 huku yanayohusu rushwa yakiwa 32 na yasiyohusu rushwa…

Mradi kijani hai wawa neema kwa wakulima wa pamba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MRADI wa Kijani Hai unaotekelezwa katika Mkoa wa Simiyu na Singida chini ya ufadhili wa Laudes Foundation ya nchini India na kutekelezwa na Giz na Helvetas Tanzania umewezesha zaidi ya wakulima 60,000 kulima Pamba kwa…