Year: 2024
Ngamia 300 wakamatwa mpakani mwa Tanzania na Kenya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Ngamia 300 wamekamatwa kwenye hifadhi ya msitu wa Mwakijembe uliopo mpakani mwa Tanzania na Kenya, wakichungwa kwa lengo la kupata malisho. Mifugo hiyo iliyokamatwa Julai 23, mwaka huu, katika msitu huo wamebaki watatu baada ya…
Tumejipanga kutekeleza mkakati wa taifa nishati safi ya kupikia – Mramba
📌 Asilimia 80 ya Watanzania kutumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo 2034 📌 Atembelea Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane 📌 Asema Sekta ya Nishati kufungamanisha Kilimo na Mifugo Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema Wizara ya Nishati…
TMDA yawashauri wananchi kutembelea banda lao kujifunza matumizi ya dawa Nanenane
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetoa wito kwa wananchi kutembelea banda lao lililopo katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali hasa matumizi sahihi ya dawa. Wito huo umetolewa na Meneja TMDA Kanda ya…
Jeshi laanza rasmi jukumu la kuiongoza kwa muda Bangladesh
JESHI la Bangladesh limechukuwa rasmi udhibiti wa nchi Jumanne, baada ya maandamano makubwa ya umma kumlazimisha mtawala wa muda mrefu wa taifa hilo kujiuzulu na kukimbilia uhamishoni Rais wa Bangladesh Mohammed Shahabuddin tayari amelivunja bunge katika utekelezaji wa hatua ambayo…
Rais Samia aacha alama ya kipekee Morogoro
Na Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya siku sita mkoani Morogoro huku akiacha alama kubwa kwa uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo na timu ya wanasheria waliosaidia kutoa msaada wa sheria bure kwa maelfu ya wananchi….