Year: 2024
Uturuki kujiunga kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel
Uturuki itawasilisha maombi kwenye mahakama ya Umoja wa Mataifa ya kujiunga katika kuishtaki Israel kwa mauaji ya kimbari. Mashtaka hayo yaliwasilishwa na Afrika Kusini. Uturuki ni miongoni mwa nchi zilizojiunga hivi karibuni ili kushiriki katika kesi hiyo. Rais wa Uturuki,…
Marekani yakamilisha kujiondoa kijeshi Niger
Marekani imekabidhi kambi yake ya mwisho ya kijeshi kwa mamlaka ya Niger. Kambi hiyo ilikuwa mojawapo ya vituo viwili muhimu vya Marekani katika mapambano yake ya kukabiliana na ugaidi. Wizara za Ulinzi za Marekani na Niger zilitangaza kwenye taarifa ya…
Bilioni tano kujenga Hospitali ya Rufaa Moro
Na WAF – Morogoro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kwa kuanza ujenzi wa jengo la Afya ya uzazi mama na mtoto ili kurahisha…
Kamanda TAKUKURU Ruvuma aipa tano TARURA
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea KAMANDA wa Takukuru Mkoa wa Ruvuma Hamza Mwenda amepongeza wakala wa bara bara Mjini na Vijijini (TARURA) mkoani humo kwa kufanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu ya barabara katika kipindi cha mwaka fedha…
Rais Samia ataka Wizara ya Nishati kuongeza kasi usimamizi miradi
📌 *Lengo ni kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati 📌 Aeleza umeme unavyochagiza shughuli za kiuchumi 📌 Vijiji 621 Morogoro vyafikiwa na umeme kati ya Vijiji 669 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara…
Ngamia 300 wakamatwa mpakani mwa Tanzania na Kenya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Ngamia 300 wamekamatwa kwenye hifadhi ya msitu wa Mwakijembe uliopo mpakani mwa Tanzania na Kenya, wakichungwa kwa lengo la kupata malisho. Mifugo hiyo iliyokamatwa Julai 23, mwaka huu, katika msitu huo wamebaki watatu baada ya…