JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Waziri Majaliwa kuzindua uboreshaji daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kigoma

Na. Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Kigoma Wananchi mkoani Kigoma wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajiwa kuzinduliwa mkoani humo Julai Mosi, 2024. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti…

CTI bado yalia na utitiri wa tozo kwenye mikoani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Dalaam SHIRIKISHO la Wenye Viwanda (CTI), limeseme kuwepo kwa utitiri wa tozo katika kila mkoa na halmashauri kumekuwa kikwazo katika ustawi wa biashara na uwekezaji nchini. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na…

Vijana waandamana Kenya

Kundi la vijana limeandamana mjini Nairobi, Kenya leo Juni 20, 2024 kuishinikiza serikali kufuta mapendekezo ya muswada wa sheria ya kodi, ambao wanadai hauna tija kwa wananchi. Vijana hao wamedai muswada huo haukushirikisha wadau wengi wakiwemo wanasiasa, ili uweze kujadiliwa…

Watu 34 wamekufa India baada ya kunywa pombe yenye sumu

Takriban watu 34 wamekufa baada ya kunywa pombe yenye sumu katika jimbo la Tamil Nadu, kusini mwa India, maafisa wamesema. Kisa hicho kilitokea katika wilaya ya Kallakuruchi ambapo wakazi kadhaa waliugua baada ya kunywa pombe hiyo Jumanne usiku. Takriban watu…

DC Magoti atembelea mradi wa uwekezaji wa Visegese Kisarawe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amefanya kikao kazi na wataalam wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyi pamoja na Kamati ya Usalama Wilaya kwa ajili ya kujadili maendeleo ya Mradi wa…

Doyo arejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa Chama cha ADC kwa kishindo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya Uchaguzi ya Chama Cha Alliance For Democract Change (ADC) imepokea fomu za wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Taifa na Makamu wake ili kujiandaa na mchakato wa uchaguzi ambao unatarajia kufanyika Juni…