JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mangungu ateua mjumbe wa bodi ya wakurugenzi

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amemteua, Dr. Kailima Ramadhani Kombwey kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club Company Limited. Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo imebainisha kuwa Dkt. Kailima ataungana…

Maandalizi Maonesho ya Sabasaba yafikia asilimia 79

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imesema maandalizi ya maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (DITF) maarufu kama ‘Sabasaba’ yamekamilika kwa asilimia 79. Aidha imesema kuwa maonesho ya mwaka huu yatakuwa…

Waziri Ummy azindua Kampuni tanzu ya Bohari ya Dawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezindua Kampuni Tanzu ya Bohari ya Dawa inayoitwa MSD MEDIPHAM MANUFACTURING CO. Ltd., itakayosimamia viwanda vya kuzalisha bidhaa za afya, pamoja na kuzindua Bodi ya Usimamizi wa…

Rais wa Jamuhuri ya Guinea Bisau kufanya ziara kwa siku tatu nchini

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Guinea Bissau ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika katika Kudhibiti Malaria (ALMA), Mheshimiwa Umaro Sissoco Embaló anatarajia kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia…

Serikali yataja mikakati ulinzi na usalama kwa wenye ualbino

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza mikakati ya serikali bungeni inayolenga kuimarisha ulinzi na usalama wa makundi ya watu wenye ulemavu na ualbino nchini. Akitoa tamko la serikali leo Juni 20, ikiwa ni siku chache tangu mtoto mwenye ualbino auawe kikatili…