Year: 2024
Vyuo vya afya valia gharama za mafunzo kwa vitendo
Na Daniel Limbe,Jamhuri Media,Geita UAMUZI wa Mabaraza ya madiwani kupanga gharama za mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa vyuo vya Afya,umetajwa kuwa mzigo mzito kwa uendeshaji wa taasisi hizo kutokana na baadhi ya wanafunzi kushindwa kumudu gharama hizo. Changamoto hiyo…
Serikali kuchangia Bilioni 5 kuimarisha shughuli za ushirika
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Samia Suluhu Hassan amekutana na Maafisa Ugani pamoja na Wanaushirika ambapo katika mkutano huo, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha huduma za ugani ili kuboresha uzalishaji wa kilimo na kuongeza tija…
Ofisi ya Msajili, PSSSF, WCF waingia ubia kumiliki kiwanda cha chai Mponde
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), pamoja na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), wameingia ubia wa kumiliki Kiwanda Cha Chai cha Mponde…
TANESCO tumieni umeme uliopo kufanya matengenezo – Dk Biteko
📌 Hakikisheni Watanzania wanapata umeme wa uhakika 📌 Asema Rais Samia ameweka msukumo kuimarisha sekta ya Nishat 📌 TANESCO Kujenga vituo vya kanda kudhibiti mifumo ya umeme Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu…
Mbunge Kibaha, DC Kibaha waungana kuanzisha kliniki ya wasanii
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini Silvestry Koka na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson John, wameungana kuanzisha kliniki ya wasanii kwa ajili ya kuibua vipaji ili kuwainua na kuwaendeleza walengwa . Koka aliyaeleza hayo,…