JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Israel-Hezbollah waongeza hofu ya kutanuka vita vya Gaza

Hofu juu ya vita imeongezeka baada ya Kundi la Hezbollah kusema kwamba hakuna sehemu ya Israel itakayokuwa salama, ikiwa vita kamili vitazuka. Katika hotuba yake kwa njia ya televisheni, kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema hakuna sehemu ya Israel itakayonusurika…

Uhispania yaipiku Italia kusonga mbele EURO 2024

Uhispania wamefanikiwa kufuzu kwa raundi ya mtoano ya timu 16 bora katika michuano ya kombe la EURO 2024 baada ya kuwachapa mabingwa watetezi Italia 1-0. Uhispania imefuzu kwa duru ya mtoano ya timu 16 bora katika michuano ya kombe la…

Ndege zisizo na rubani 114 za Ukraine zimedunguliwa – Urusi

Wizara ya Ulinzi ya Urusi inadai kuwa ndege zisizo na rubani 114 za Ukraine zimedunguliwa katika maeneo tofauti ya Urusi usiku kucha, na boti sita zinazojiendesha ziliharibiwa katika Bahari Nyeusi. Hatahivyo wizara haiandiki chochote kuhusu ndege zisizo na rubani ambazo…

Mmoja afariki, wengine wajeruhiwa katika maandamano Kenya

Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya thelathini kujeruhiwa katika maandamano ya Alhamisi yaliyoenea nchini Kenya kupinga mapendekezo ya nyongeza ya ushuru. Madaktari walisema mwathiriwa alivuja damu hadi kufa baada ya kupata jeraha la risasi katika mji mkuu, Nairobi….

RC Chalamila siku ya mtoto wa Afrika itukumbushe wajibu wetu katika malezi ya mtoto

-Aitaka jamii kuacha kushabikia vitendo vinavyodharirisha utu wa binadamu -Asema mtoto anasitahili kulindwa na kupatiwa haki yake -Atoa rai kwa jamii kuacha tabia za kibaguzi kwa watoto wenye ulemavu na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa…

TARURA ongezeni umakini kwa wakandarasi : Mhandisi Mativila

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Naibu Katibu Mkuu Wizara ya OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu  Mhandisi. Rogatus Mativila ameitaka Wakala ya barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) mkoa wa Morogoro kuongeza umakini kwa wakandarasi waotekeleza miradi ya Ujenzi wa barabara na madaraja…