JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Waziri Kairuki atoa wito kwa nchi wanachama wa Afr100 kuweka mifumo ya ufutiliaji kuokoa misitu iliyoathiriwa

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Waziri wa Maliasili wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa mkakati wa kuokoa ardhi na misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100)…

Serikali ya Tanzania, China zakubaliana kuboresha huduma ya maji mji Dodoma

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Maji imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Shanxi ya Utafiti wa Madini juu ya kufanya utafiti wa kihaidrojia katika rasilimali maji chini ya ardhi utakaofanyika katika vijiji takribani 10…

NIRC, TRC, Benki ya Dunia kuanza ujenzi mabwawa sita kukabiliana na mafuriko na kulinda mradi SGR

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi yakinifu wa mabwawa sita ya umwagiliaji…

Tabora United yakabidhiwa kitita cha milioni 50

Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora   TIMU ya soka ya Tabora United ya Mkoani Tabora imezawadiwa kitita cha sh mil 50 baada ya kufanikiwa kubakia Ligi Kuu ya NBC msimu huu kama motisha kwa wachezaji na walimu wao. Kitita hicho kimekabidhiwa…

Serikali kuchukua hatua kali kwa wanaoiba mara baada ya jali

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amesema serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuiba mali baada ya ajali kutokea. Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga (CCM) aliyeuliza swali kwa…

Pitin : Kosa kubwa’ kwa Korea Kusini kuipa Ukraine silaha

Vladimir Putin ameionya Korea Kusini itakuwa ikifanya ‘kosa kubwa’ ikiwa itaipatia Ukraine silaha katika vita dhidi ya Urusi. Maoni yake yanakuja baada ya Seoul kusema inazingatia uwezekano huo, kujibu makubaliano mapya ya Urusi na Korea Kaskazini kusaidiana iwapo kuna “uchokozi”…