JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

GST yatumia ndege nyuki kufanya utafiti wa madini Mirerani

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Wachimbaji wadogo na wa kati wa Madini ya Tanzanite katika Mji Mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wanatarajia kunufaika baada ya Taasisi ya jiolojia na utafiti wa madini Tanzania (GST) iiyotumia ndege nyuki kufanya…

Baba aliyepoteza watoto watatu kwa kuungua moto naye afariki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Idadi ya waliofariki katika ajali ya moto iliyoua watoto watatu wa familia moja jijini Arusha imeongezeka baada ya baba wa watoto hao askari CRI wa TANAPA, Zuberi Hassan Msemo kufariki. Kaimu Kamanda wa Jeshi la…

Waziri Mkuu : Taasisi za umma zitumie mifumo ya kidijitali

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi ya kiutendaji na kuifanya Tanzania kuendana na mapinduzi ya nne ya viwanda yanayotumia TEHAMA. Amesema kuwa mifumo hiyo…

Maboresho yaliyofanywa na TANROADS kwenye mizani yadhibiti mianya ya rushwa – Mhandisi Kyamba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia TANROADS imekamilisha ujenzi wa Mzani mpya wa kisasa wa Mikumi uliopo barabara kuu ya Morogoro – Iringa, pamoja na maboresho katika mizani ya…

Chalamila: Wafanyabiashara Kariakoo epukeni kujihusisha kwenye migomo, Serikali kutatua kero zenu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo mapema leo wŵwni 23,2024 kufuatia uwepo wa taarifa za uvumi wa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo amewataka wafanyabiashara kuepuka kushiriki kwenye masuala…