JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Fundi magari ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti mtoto wake

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Katika kipindi cha Julai hadi agost 2024 watuhumiwa saba katika mkoa wa Pwani, wamehukumiwa miaka 30 jela na wengine kufungwa maisha kwa makosa ya kulawiti, kubaka. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alieleza,…

Serikali kuendelea kutatua changamoto zinazozikabili taasisi za dini nchini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imeahidi kutatua changamoto zinazozikabili Taasisi za dini nchini huku ikilenga kuboresha mazingira ya kiutendaji na kuhakikisha huduma zinazotolewa zinakidhi viwango vya ubora. Ahadi hii inahusisha hatua mbalimbali, ikiwa ni pamoja na urahisishaji wa taratibu za usajili…

Nembo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa yazinduliwa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amezindua nembo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu na kuwakabidhi wakuu wa mikoa muongozo wa…

Rais Samia apokelewa na gwaride maalum Zimbabwe

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Zimbabwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Robert Mugabe jijini Harare nchini Zimbabwe na ndege ya Shirika la Ndege la ATCL kuhudhuria Mkutano wa 44…

TCB kushirikiana na Bunge kuwainua wajasiriamali nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza na Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa…