Year: 2024
Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dk Samia kuaga mwili wa marehemu Tendwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Desemba 19, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kuaga mwili wa marehemu John Billy Tendwa ambaye aliwahi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Akitoa Salama pole kwa waombolezaji wakati wa tukio la…
Serikali yahimiza ubia kwenye miradi yenye mvuto kibiashara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodo.a Wataalamu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi nchini wameagizwa kuhakikisha miradi yote mikubwa yenye mvuto wa kibiashara nchini inatekelezwa kwa ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) ili…
Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katika vita vya Ukraine
Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema. Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa…
Tanzania inaongoza katika nchi za Afrika Mashariki kuwa na afya ya uchumi zaidi – Kafulila
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi-PPPC, David Kafulila, amesema Tanzania inaongoza katika nchi za Afrika Mashariki kwa kuwa na afya ya uchumi zaidi ukilinganisha na…
Gibson: Starlink Tanzania haina uhusiano na Starlink Satellite
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya burudani na masoko ya Starlink Tanzania Limited imekanusha vikali uwapo wa uhusiano wowote na Kampuni ya Starlink Satellite Tanzania Limited inayotoa huduma ya intaneti inayomilikiwa na SpaceX. Starlink Tanzania Ltd ilisajiliwa…