JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Gridi ya Taifa kumaliza tatizo la umeme Rukwa

📌 Kituo cha kupoza umeme kujengwa Nkansi 📌 Maeneo 1,500 yaliyofanyiwa mapitio yamekidhi vigezo kulipia 27,000/- Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema changamoto ya umeme katika Mkoa wa Rukwa itamalizika baada ya Mkoa…

Ruvuma ilivyobarikiwa kuwa na vivutio adimu vya utalii

MKOA wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa michache nchini ambayo imebarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa na vivutio vya aina zote za utalii,ambavyo ni utalii wa ikolojia na utamaduni. Mkoa wa Ruvuma una mapori manne ya wanyamapori ambayo ni sehemu ya…

Muswada wa fedha 2024; Polisi wakabiliana na waandamanaji mjini Nairobi

Makabiliano makali yamezuka katikati ya mji wa Nairobi baada ya polisi kuwatawanya waandamanaji wa kupinga muswada wa fedha wa 2024. Umati wa waandamanaji ulikuwa umekusanyika katika barabara mbalimbali kupinga Muswada wa Fedha wa 2024 wakati makabiliano yalipozuka. Polisi waliwarushia vitoa…

Korea Kaskazini yatuma maputo yenye takataka na nguo kuukuu nchini Korea Kusini

Wizara ya Muungano ya Korea Kusini ilitangaza tarehe 24 kwamba vimelea vinavyotokana na kinyesi cha binadamu na nguo zilizoharibika za Hello Kitty zilipatikana kwenye takataka zilizokutwa kwenye mfuko kwenye puto lililotumwa na Korea Kaskazini kwenda Korea Kusini. Tangu Mei, Korea…

Bunge la Kenya lapitisha marekebisho ya Muswada wa Fedha 2024

Muswada huo wa Sheria ya Fedha wenye utata umepitia Kamati ya Bunge zima , ambapo wabunge walikuwa wakipiga kura ya marekebisho ya muswada huo, sasa unasomwa kwa mara ya tatu. Hii ni baada ya wabunge 195 kupiga kura kupitisha muswada…

Jeshi la Polisi lawafariji wagonjwa Chato

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato KATIKA kile kinachoonekana ni kuitafsiri kwa vitendo falsafa ya Polisi Jamii na Ulinzi shirikishi,Jeshi la polisi wilayani Chato mkoani Geita limefanya usafi na kutoa zawadi mbalimbali kwa baadhi wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali ya wilaya hiyo….