JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais Ruto: Ghasia za Jumanne ni matukio ya Uhaini,

Rais wa Kenya William Ruto ameyataja matukio ya Jumanne ambapo waandamanaji wanaopinga nyongeza ya kodi waliingia bungeni na taasisi nyingine za serikali kuwa ni uhaini. Alionya kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya waandamanaji watakaojihusisha na ghasia. Watu sita wamethibitishwa kufariki na…

Video na picha zizingatie mila na desturi za Kitanzania

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUKWAA la Wapiga picha na wachukua video za matukio wametakiwa kuzingatia weledi ,uzalendo, na mila na desturi za taifa ili kuepukana na sintofanfamu katika jamii kupitia shughuli zao Agizo hilo amelitoa Mkuu wa…

Watumishi wanne kizimbani kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Juni 24, 2024 watumishi wanne ambao ni maafisa uchumi, wahasibu na maafisa uvuvi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka pamoja na…

Mtendaji Mtaa wa Oysterbay Dar ahukumiwa kwenda jela miaka 20

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Juni 24, 2024, imeamuliwa kesi ya Uhujumu Uchumi Na. 11/2022 mbele ya Isiaqa Kuppa – Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni. Katika shauri hilo lililoendeshwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi Janeth Kafuko…

Gridi ya Taifa kumaliza tatizo la umeme Rukwa

📌 Kituo cha kupoza umeme kujengwa Nkansi 📌 Maeneo 1,500 yaliyofanyiwa mapitio yamekidhi vigezo kulipia 27,000/- Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema changamoto ya umeme katika Mkoa wa Rukwa itamalizika baada ya Mkoa…