JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

ICC yatoa waranti ya kukamatwa viongozi waandamizi wa Urusi

Mahakama ya Kimaitaifa ya ICC imetoa waranti ya kukamatwa kwa waziri wa zamani wa ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu na jenerali wa juu, Valery Gerasimov, wanaodaiwa kuhusika na uhalifu katika vita vya Urusi Ukraine. Shoigu aliondolewa kwenye wadhifa wake wa…

Tujenge desturi ya kulipa kodi kwa maendeleo ya Taifa letu

Tukiwa tunaelekea kupokea bajeti mpya ya serikali ya 2024/2025 ikijadiliwa bungeni kwa mujibu wa sheria, pia nasi katika jamii tukieendelea kuifuatili kwa ukaribu na umakini mkubwa. Hii haimaanishi kwamba suala hili ni la wanasiasa sio kwakuwa bajeti ndio taswira na…

Tuone umuhimu wa kuchangia damu hakuna mbadala wake

Na John Haule, JamhuriMedia, Arusha Kila ifikapo Juni 14 dunia huadhimisha siku ya mchangia damu. Katika siku hii hamasa huwa kubwa zaidi lakini ukweli ni kwamba suala la uchanguaji wa damu halina siku maalumu kutokana na umuhimu wake. Nasema hivi…

Rais Ruto aapa kutokomeza maandamano ya vurugu

Rais wa Kenya William Ruto amelihutubia taifa usiku wa kuamkia Jumatano na kusema maandamano ya kupinga ongezeko la kodi na ushuru yalivamiwa na makundi ya wahalifu na kuapa kuwa matukio kama hayo hayatojirudia tena. Ruto ameapa kwamba matukio ya uvamizi…

Bashe, Mpina, nani anatetea wanyonge?

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kitambo sijaandika makala ya Sitanii kwa mtiririko wake wa kawaida. Nafahamu msomaji umesikia na unalifahamu sakata linaloendelea kati ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ambapo Mpina anasema Bashe…

Mapapa 7 wa sukari, wabunge watuhumiana kulamba mlungula

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Sakata la sukari limeendelea kutawala mijadala bungeni, na safari hii wabunge wengi waliochangia wanataka muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Sukari Namba 6 ya mwaka 2021 upelekwe bungeni ili sheria hiyo ifumuliwe. Wanataka mabadiliko yafanywe haraka…