Year: 2024
Serikali ya Ruto kurejesha vipengee vya mswada wa fedha
Serikali ya Kenya imesema italazimika kurejesha baadhi ya hatua za ulipaji kodi ambazo zilifutwa baada ya kuibuka maandamano makubwa mwezi Juni. Hatua ya Serikali ya Kenya ni jambo linalozidisha hatari ya kutokea machafuko zaidi katika taifa hilo la Afrika Mashariki….
Maboresho Mahakama ya Tanzania yaivutia Mahakama ya Malawi
Na Mary Gwera, Dodoma Maboresho makubwa yanayoendelea kufanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi wa Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan yanaonekana kuwa kivutio kwa nchi mbalimbali duniani kuja kujifunza namna ambavyo Mahakama inaendesha shughuli…
Zelensky: Wanajeshi wetu wanatimiza malengo yao huko Kursk
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema wanajeshi wake wanatimiza malengo yao kufuatia mashambulizi katika eneo la Urusi la Kursk, yaliyoanzishwa karibu wiki mbili zilizopita. Kwenye hotuba yake, Zelensky amesema “nimepokea ripoti kutoka kwa Kamanda Mkuu wa jeshi Syrskyi kuhusu hali…
SMZ kuja na boti za mwendokasi
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ipo katika hatua za mwisho za mchakato wa manunuzi ya boti mpya mbili za kisasa zinazokwenda kasi zitakazofanya safari kati ya Tanga, Pemba, Unguja, Dar es Salaam na Mombasa nchini Kenya. Taarifa hiyo imetolewa leo…
Dreamliner yashindwa kufika Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ inasikitika kuwajulisha wananchi kwamba ndege aina ya Boeing 8787-8 Dreamliner, ambayo iliyotarajiwa kufika na kutua leo katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume imeshindwa kufika kutokana na changamoto za hali ya hewa. Kwa…