JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais mstaafu Kikwete akutana na Makamu wa Rais Nigeria jiini Abuja

ABUJA, Nigeria – Agosti 21, 2024 – Makamu wa Rais wa Nigeria Mhe. Kashim Shettima ametoa wito wa kuimarisha ushirikiano kati ya Nigeria na Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ujumuishaji wa kikanda na juhudi za pamoja ili kufanikisha ukuaji na umoja…

TLS yaitaka Polisi kumfikisha mahakamani afande aliyeagiza binti Yombo abakwe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), kimelitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha mtuhumiwa mkuu aliyesababisha tukio la kubakwa na kulawitiwa kwa binti wa Yombo anafikishwa mahakamani upesi ili haki ipatikane. Akizungumza na vyombo vya habari…

Waziri Mhagama akabidhi ofisi kwa Waziri Lukuvi

Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Jenista Mhagama ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi katika maeneo ambayo atahitaji kupata taarifa za ziada wakati wa kuratibu…

Ridhiwani Kikwete anogesha bonanza la NMB Day Kizimkazi Festival 2024

Na. Andrew Chale, JamhuriMesia, Zanzibar Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwan Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi ameweza kunogesha Bonanza la NMB DAY katika Tamasha la Kizimkazi 2024, linaloendelea katika maeneo ya…

Rais Samia azindua shule ya mil 800/- iliyojengwa Makunduchi na NMB

¹Na. Andrew Chale, JamhuiMedia, Zanzibar RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekabidhiwa na kuizindua Skuli ya Maandalizi iliyopewa jina lake, iliyopo Kijiji cha Tasani, Makunduchi, Zanzibar, iliyojengwa na Benki ya NMB kwa gharama ya Sh….

Wakandarasi, REA fanyeni kazi kwa uadilifu na kukamilisha miradi kwa wakati – Dk Biteko

📌Awataka REA, wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradi 📌Mkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwa 📌 Vitongoji 3,060 kupelekewa umeme Wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati hususan miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na…