JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wahariri na waandishi wa habari watakiwa kuweka maazimio ya kukuza taaluma

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wahariri na Waandishi wa habari nchini,wametakiwa kuweka maazimio machache yatakayokwenda kufanyiwa kazi kama sehemu ya kukuza taaluma ya habari eneo la weledi. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Katibu mkuu Wizara ya Habari Mawasiliano…

Kuongezeka kwa viwango vya maji katika Ziwa Victoria kunatishia kisiwa cha Ukerewe

Kufuatia mabadiliko ya hali ya hewa na vipindi vya mvua visivyotabirika, Ziwa Victoria limeshuhudia kuongezeka kwa kiwango cha maji kwa kiwango kikubwa hali inayoweka mazingira na watu wa Ukerewe katika hatari. Kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi wa satelaiti mwaka…

Dk.Mpango aipongeza CTI tuzo za PMAYA

Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia,Dar es Salaam MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amelipongeza Shirikisho la Wenye Viwanda (CTI) kwa kuratibu vyema tuzo za wenye viwanda tangu kuanzishwa kwake. Alitoa pongezi hizo leo jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa tuzo…

REA kujenga mifumo nishati safi sekondari Ruhinda

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeahidi kujenga mifumo ya nishati safi ya kupikia pamoja na jiko katika Shule ya Sekondari ya Mchanganyiko ya Ruhinda iliyopo Wilaya ya Karagwe, Kagera. Ahadi hiyo imetolewa Novemba na Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan…

TAKUKURU Kinondoni kupokea malalamiko 104

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni imesema katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Septemba 2024 wamepokea malalamiko 104 yaliyohusu rushwa 72, yasiyohusu rushwa 32 . Akitoa taarifa hiyo leo…

Mgogoro wa Kisiasa Ujerumani; Scholz amfukuza Kazi Waziri wa Fedha na kuvunja muungano

Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, amefukuza kazi Waziri wake wa Fedha, Christian Lindner, katika hatua inayolenga kumaliza mgawanyiko wa ndani lakini ambayo imezua mzozo wa kisiasa nchini. Hatua hii imefanya muungano uliokuwa unaiongoza serikali kuvunjika rasmi, huku chama cha kiliberali…