JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wataalam wa sheria watoa wito kwa Jamii kujifunza mifumo ya kisheria

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Katiba na Sheria nchini Jumanne Sagini leo June 28,2024 ametembelea Kliniki ya Ushauri na elimu ya Sheria kwa Umma kwenye viwanja wa Mwalimu Nyerere(Nyerere Square) iliyozinduliwa hivi karibuni kujionea namna msaada wa kisheria unavyotolewa…

Mfumo wa NHIF, ZHSF kusomana

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kufanikisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) na Mfuko wa huduma za afya Zanzibar (ZHSF) zimesaini mkataba wa makubaliano wa mashirikiano katika utoaji wa huduma kwa wanachama wake ili kuongeza…

Wairan waishio nchini wapiga kura kumchagua Rais Iran

Na Dk Mohsen Maarefi, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAIRAN wanaoishi nchini wamepiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa rais mpya kwa kuhudhuria ubalozi wa Iran jijini Dar es Salaam. Uchaguzi huo wa muhula wa 14 wa urais wa Iran ulifanyika…

HELSB yazindua kampeni ya fichua ‘Kuwa Hero wa Madogo’

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Bodi ya Mikopo Tanzania (HELSB), imewaomba wananchi kuwafichua wanufaika wa mikopo walio na vipato na kazi ambao mpaka sasa wamekaidi kurejesha fedha hizo ili kusaidia wanavyuo wengine nao waunufaike. Ombi hilo limetolewa leo Juni 28,2024…

Serikali yatambua mchango WFP hususan katika hifadhi ya mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema inatambua mchango wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) hususan katika hifadhi ya mazingira nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa…

Mraibu aanzisha asasi kuikomboa jamii dhidi ya dawa za kulevya

*Said ni aliyekuwa mraibu kwa miaka 21. * Amgeukia Rais Samia, Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu kuzishika mkono asasi changa ili kuokoa waraibu hasa vijana Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMwdia, Pwani NACHUKIA dawa za kulevya, najutia kupoteza muda…