JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mchungaji Peter Msigwa ajiunga na CCM; Chadema wapata pigo zito

Na Mwandishi wetu -Jamuhuri Media Dar es Salaam Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na chama cha Mapinduzi CCM Mchungaji Peter Msigwa ametambulishwa leo Juni…

TANROADS yampa tano Rais Samia kutoa bil. 101.2/- kwa ujenzi wa barabara Kahama – Bulyanhulu – Kakola

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Baada ya tarehe 16 Machi 2024 Serikali kusaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct – Kakola yenye urefu wa Kilomita 73 kwa kiwango cha lami, tayari Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation imeanza…

Kuelekea chaguzi: Vyombo vya habari vyashauriwa kutoa elimu ya rushwa

Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), CP .Salumu Rashid Hamduni ,amevitaka vyombo vya habari na wadau mbalimbali nchini kushirikiana kupiga vita rushwa ili kupata viongozi…

Polisi wakamata majahazi ya mafuta ya kupikia dumu 1731

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi kupitia Kikosi cha Polisi Wanamaji limefanikiwa kukamata majahazi yakiwa na mafuta ya kupikia dumu 1731. Kwa mujibu wa Kamanda wa Kikosi cha Polisi Wanamaji, ACP Moshi Sokoro amesema katika ufuatiliaji…

Wamiliki vyombo vya habari watakiwa kuwalipa wafanyakazi wao,kuwapa mikataba

Mwandishi [email protected] Dar es salaam.Wamiliki wa vyombo vya habari nchini,wametakiwa kuwalipa malimbikizo ya madai wafanyakazi wao wanaowadai na kutoa mikabata ya ajira ili kuongeza Uhuru wa habari na kujieleza nchini. Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa ldara…