JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wanachama wa ADC wakata rufaa, wadai uchaguzi umekiuka katiba

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia,Dar es Salaam Baadhi ya wanachama wa Chama cha Allience far Democratic clChange (ADC), wamepinga matokeo ya uchaguzi ndani chama hiko uliofanyika Juni 29,2024 huku wakikata rufaa wakidai kuwa tangu zoezi la hilo lianze kumekuwa na ukiukwaji…

Mndolwa ahimiza watumishi wa NIRC kuzingatia ubora utekelezaji miradi ya Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Bwana Raymond Mndolwa, amewataka wahandisi na watumishi wa Tume kuheshimu, kusimamia na kutekeleza miradi kwa viwango na ubora. Amesema ni aibu kwa taasisi kuwa na miradi isiyokidhi…

Bil.1.9/- zimetumika matengenezo barabara zilizoathiriwa na mvua Shinyanga – Eng. Joel

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt samia Suluhu Hassan imetoa fedha shilingi Bilioni 1.9 kwa ajili ya kushughulikia barabara zilizoathiriwa na Mafuriko/mvua za Elnino kwa Mkoa wa Shinyanga. Fedha hizo…

Serikali mpya ya muungano ya Afrika Kusini yatangazwa

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza serikali mpya ya mseto, baada ya chama chake tawala cha African National Congress (ANC) kupoteza wingi wa wabunge katika uchaguzi wa mwezi Mei. Alisema “serikali ya umoja wa kitaifa… haijawahi kutokea katika historia…

Ruto: Sina hatia na vifo vya waandamanaji

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa “hana hatia” na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mapema wiki iliyopita katika maandamano ya kuipinga serikali yake. Ruto ametoa kauli hiyo wakati mamia ya watu wakikusanyika jana katika mji mkuu wa Nairobi kuwakumbuka watu…

Rais wa Msumbiji kufanya ziara ya siku nne Tanzania, kufungua maonyesho Sabasaba

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kupokea ugeni wa Rais wa Msumbiji Philip Jacinto Nyusi ambaye atawasili kwa ziara yake ya siku nne kuanzia Julai 1hadi 4 ,2024 na ndiye mgeni rasmi atakayefungua maonyesho ya 48 ya biashara…