JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Riziki Ndumba, fundi cherehani mwenye ulemavu wa mikono anayetamani kushona sare za jeshi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Riziki Ndumba ambaye ni fundi Cherehani na mlemavu wa mikono ameiomba serikali kuweza kumpa ajira ya kuweza kushona sare za Jeshi la Polisi au Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Ndumba ambaye ni muhitimu…

Faraja Michael, muhitimu wa VETA aliyeamua kuanzisha kiwanda chake

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Muhitimu kutoka Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Dodoma fani ya uchomeleaji, Faraja Michael aanzisha kiwanda chake kutengeneza vitu mbalimbali vinavyotokana na chuma pamoja na Aluminium. Akizungumza katika Banda la…

Tanzania ipo tayari kwa AkiliMnemba – Dkt. Mwasaga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa, Tanzania sasa ipo tayari kwa matumizi ya teknolojia ya Akili Mnemba na kwamba Watanzania hawapaswi kuwa na hofu yoyote, kwani teknolojia hiyo haiji kuondoa nafasi za kazi bali kuongeza tija. Hayo…

Dkt Mataragio akagua ujenzi wa kituo mama cha kujaz9ia gesi

Amtaka Mkandarasi kuongeza kasi  *Mitambo kuanza kusimikwa Septemba 2024 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amekagua kazi za ujenzi wa Kituo cha Kujazia Gesi kinachojengwa katika barabara ya Sam Nujoma mkoani Dar es Salaam na kumtaka Mkandarasi…

Rais Samia unda Kikosi Kazi cha Kuchunguza Kodi

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kodi, kodi, kodi…Nimetaja neno kodi mara tatu mwanzoni mwa makala hii. Nimetaja kodi kutokana na matukio makuu matatu ndani ya wiki iliyopita. Tukio la kwanza ni mgomo wa wafanyabiashara ulioanzia Kariakoo, Dar es Salaam…