JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kocha Stars ajibu Samatta, Msuva kutojumuishwa kikosini

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Hemed Suleiman ‘Morocco’ ametoa ufafanuzi kuhusu kukosekana kwa washambuliaji Mbwana Samatta na Simon Msuva, kwenye kikosi cha Stars kilichoitwa leo kwa ajili…

Akiri kuiba mtoto baada ya kuachika mara mbili

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limethibitisha kumkamata mwanamke mmoja aitwaye Khadija Juma (24) Mkazi wa kijiji cha Sengerema Wilaya ya Uyui Mkoa wa Tabora, akiwa na mtoto mchanga wa kike aliyemuiba kwenye kituo cha afya Ushetu mnamo Agosti 20,…

Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti atua Dar

ยท Ashirikiana na wataalamu wazawa upasuaji Mloganzila Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MTAALAMU bingwa wa ubadilishaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali kubwa nchini India ya Yashoda, Dk. Ram Mohan Reddy amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya…

Waziri Mavunde aitaka sekta ya binafsi kujiandaa na mapinduzi makubwa ya sekta ya madini

-Rais Samia aelekeza juu ya ushiriki wa idadi kubwa ya Watanzania kwenye sekta ya Madini -Viwanda vya ndani kuzalisha bidhaa za migodini -Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha uzalishaji bidhaa migodini Afrika -Waziri Mavunde ataka Watanzania kuchangamkia Trilioni 3.1 za manunuzi…

DCEA yateketeza ekari 1,165 za mashamba ya bangi Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga,…

Shule ya sekondari Hasnuu Makame yaitikia agizo la matumizi ya nishati safi ya kupikia

๐Ÿ“Œ Mwalimu Mkuu aeleza namna Nishati Safi ya Kupikia ilivyookoa nusu ya gharama ๐Ÿ“Œ Aeleza athari zilizopatikana wakati wakitumka nishati isiyo safi Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo…