JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Vijana wahimizwa kushiriki katika mipango ya matumizi bora ya ardhi

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Naibu Kamishna wa Ardhi kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wilson Luge amewataka vijana kuzingatia suala la ongezeko la idadi ya watu wakati wa kupanga matumizi bora ya ardhi. Kamishna Luge amesema…

Biteko afanya mazungumzo na mwakilishi wa heshima wa Tanzania Singapore

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 21, 2024 akiwa nchini Singapore amekutana na kufanya mazungunzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania nchini humo, Bw. Teo Siong Seng ambaye pia ni mwenyekiti mwenza wa…

Kafulila : Kampuni ya COVEC ya China kumaliza kero ya foleni Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. Ltd. (COVEC) ambayo imeonesha nia kuwekeza Dola za Marekani bilioni 1 (zaidi ya Shilingi trilioni 2.7) kujenga barabara zenye lengo la kupunguza…

RC Manyara ataka michezo kutumika kukuza Uhifadhi na Utalii

Na Mussa Juma, JamhuriMedia, Babati Mkuu wa Mkoa Manyara, Qeen Sendika ametaka sekta ya michezo mkoa Manyara kuendelea kutumika katika kukuza Utalii na uhifadhi wa mazingira na wanyamapori. Sendeka alitoa agizo hilo katika fainali ya michuano ya Chemchem CUP 2024…

3,000 washiriki uzinduzi kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibika Arusha

Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limezindua kampeni ya tuwaambie kabla hawajaharibiwa kwa lengo la kuongea na wanafunzi kuanzia elimu ya awali hadi vyuo vikuu kwa ajili ya kuwaelimisha juu ya kujitambua ili kujiepusha…