JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Lissu ataka vyombo vya usalama vichunguzwe na visafishwe

Isri Mohamed MAKAMU mwenyekiti Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema ipo haja ya vyombo vya usalama vya kimataifa kuja kuvichunguza vyombo vya usalama vya hapa nchini ili kubaini chanzo cha matukio ya utekaji na mauaji…

Iran yawekewa vikwazo madai ya upelekaji makombora Urusi

Mataifa makubwa ya magahribi yametangaza orodha mpya ya vikwazo dhidi ya Iran wanayoituhumu kuipatia Urusi makombora ya masafa marefu ambayo inaaminika Moscow itayatumia dhidi ya Ukraine. Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimetangaza kuifuta mikataba yote ya sekta ya anga na jamhuri…

Trump, Harris wapambana kwenye mdahalo

Wagombea wa urais wa Marekani, Kamala Harris wa chama cha Democratic na Donald Trump wa Republican wamepambana kwenye mdahalo wa televisheni usiku wa kuamkia leo kiasi miezi miwili kabla ya uchaguzi wa Novemba 5. Mdahalo huo wa kwanza baina yao…

Wafahamu Al Ahly Tripoli, wapinzani wa Simba shirikisho

Isri Mohamed Wachezaji wa klabu ya Simba leo alfajiri Agosti 11, wameondoka nchini kuelekea Libya kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika watakaocheza dhidi ya klabu ya Ahly Tripoli ya nchini humo. Katika mchezo huo…

AZAKi, sekta binafsi na umma, kushirikiana kuleta maendeleo

Na Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Arusha Shirika la Foundation for Civil Society (FCS), limeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kujikwamua kiuchumi kutokana na ushirikano utakaozikutanisha pamoja na sekta binafsi katika utekelezaji wa shughuli zao mbalimbali za maendeleo katika jamii. Hayo yamebainishwa na…

Mikoa minne kunufaika na nishati safi ya kupika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MIKOA minne ya Tanzania Bara inatarajia kunufaika na mradi wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao utasaidia katika kupunguza matumzi ya kuni na mkaa yanayotokana na ukataji wa miti. Hayo yalibainishwa wakati wa kikao kazi…