Year: 2024
Elimu matumizi bora ya ardhi kupunguza migongano baina ya binadamu na wanyamapori
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dodoma Mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini ulirasimishwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni moja ya mikakati katika mchakato wa kuleta maendeleo endelevu. Utekelezaji wa mpango huu hauna budi kuwa mikononi mwa wanavijiji wenyewe kwa…
Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram kufikishwa mahakamani
Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram Pavel Durov, amepelekwa mahakamani mjini Paris ambapo anaweza kufunguliwa mashtaka rasmi, baada ya muda wa kwanza wa kukamatwa na kuhojiwa kumalizika. Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram Pavel Durov, amepelekwa mahakamani mjini Paris ambapo anaweza kufunguliwa…
Aliyepatikana na mafuvu ya vichwa vya binadamu Uganda kushtakiwa
Mwanamume mmoja raia wa Uganda anayedaiwa kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya binadamu huenda alikuwa akiyatumia kutoa kafara ya binadamu na anaweza kufungwa jela maisha, polisi wameiambia BBC. Msemaji wa polisi Patrick Onyango alisema mshukiwa, Ddamulira Godfrey, atafunguliwa mashtaka…
Rais Dk Samia azindua ndege za mafunzo ya awali kwa marubani JWTZ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine katika hafla fupi ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa…
UWT Kibaha Mjini yamuunga mkono Rais Samia mapinduzi nishati safi
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Kibaha JUMUIYA ya Wanawake (UWT)Kibaha Mjini, Mkoani Pwani, imetoa wito kwa wanawake kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo na kuboresha huduma za kijamii, huku ikisifu juhudi zake za kuleta mapinduzi kwenye sekta…