JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mtendaji, wakala wa pembejeo hatiani kwa kughushi nyaraka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Kaimu Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Kimondo, Mwenyekiti wa Kamati ya Pembejeo za Kilimo katika Kijiji cha Kimondo na Wakala wa Pembejeo wa Kampuni ya Highlands Seed Growers Limited…

UVCCM kuzindua Kampeni Maalum Julai 6, mwaka huu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa kampeni maalumu ya vijana itakayo jadili fursa zilizopo kwa vijana katika jamii. Akizungumza…

Hifadhini viumbe na kulinda mazingira ya bahari – Dk Biteko

📌Asema uchumi wa buluu ni shughuli zote za kiuchumi zinazohusiana na Bahari, Maziwa Makuu na rasilimali zake 📌Uchumi wa Buluu mchangiaji mkubwa wa maendeleo 📌Wizara na Taasisi za Serikali zatakiwa kushirikiana na DMI Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na…

Silaa aingilia kati mgogoro wa Mohammed enterprises na wananchi wa Kipange

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WAZIRI wa ardhi , Nyumba na Makazi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya Mohammed Enterprises na wananchi wa Kipangege, Msufini kata ya Soga ,Kibaha Vijijini ,Mkoani Pwani ambapo amesitisha shughuli yoyote isiendelezwe…

FCC kutoa elimu Sabasaba kuhusu bidhaa bandia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Ushindani nchini (FCC) imeendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla kuhusu bidhaa bandia katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba yanayofanyika…