Year: 2024
Uingereza yasitisha baadhi ya mauzo ya silaha kwa Israel
Uingereza imesitisha baadhi ya mauzo ya silaha kwa Israel, ikisema kuna “hatari ya wazi” vifaa hivyo vinaweza kutumika kufanya ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa. Waziri wa Mambo ya Nje David Lammy alisema Uingereza itasimamisha leseni 30 kati ya 350…
DRC: Watu 129 wameuawa katika jaribio la kutoroka gerezani
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema kuwa takribani watu 129 waliuawa walipokuwa wakijaribu kutoroka katika gereza kuu la Makala katika mji mkuu Kinshasa siku ya Jumapili jioni, na kuongeza kuwa hali sasa imedhibitiwa, Shirika la habari la Reuters…
Dhambi ya kuiua Ngorongoro
Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kwa miaka kadhaa nimeandika mengi kuhusu uhifadhi, hasa eneo la Ngorongoro ambako kuna Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), na Pori la Akiba Pololeti (Loliondo). Mambo yanayoendelea katika eneo hili yanahitaji…
Mafanikio ya kiuchumi Indonesia yaihamasisha Tanzania kujifunza
Na Mwandishi Maalum Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mageuzi ya kiuchumi ya Indonesia katika sekta mbalimbali kama vile uchimbaji wa mafuta na gesi, kilimo na viwanda vimeiwezesha nchi hiyo kuwa nafasi…
Law School itafsiri mabadiliko kama kengele
Na Deodatus Balile ,JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limefanya marekebisho katika sheria mbalimbali, ikiwamo Sheria ya Shule ya Sheria Sura ya 425. Yamefanyika mabadiliko kadhaa katika sheria hiyo, ila yaliyoigusa jamii ni…
Mchengerwa: DART fanyeni mchakato haraka kuondoa adha ya usafiri
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi Mohamed Mchengerwa amewataka Watendaji wa mabasi yaendayo haraka DART kuhakikisha wanafanya mchakato wa haraka kupunguza changamoto ya usafiri inayosababishwa na uhaba wa mabasi hayo . Agizo…