JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kamishna Luoga awataka wafanyakazi Wizara ya Nishati kuongeza kasi, umakini kwenye utendajikazi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amewataka Wataalam katika Wizara ya Nishati na Taasisi zake kujikita katika kufanya kazi kwa kasi, umakini na bidii ili kuwafikishia wananchi nishati ya uhakika…

Uhamiaji Arusha yawakamata raia 28 wa Ethiopia kwa kuingia nchini kinyume cha sheria

Idara Uhamiaji Mkoa wa Arusha usiku wa kuamkia tarehe 05/07/2024 imefanikiwa kukamata raia 28 wa Ethiopia maeneo ya Uwanja wa ndege wa kisongo uliopo nje kidogo ya jiji la Arusha, baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema na kushirikiana…

Kaimu Balozi apongeza askari wa kike walioshiriki mafunzo Abuja Nigeria

Na Abel Paul, Abuja Nigeria Kaimu Balozi, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Nigeria amewapongeza askari wa kike kutoka Tanzania waliofika Jijini Abuja Nchini Nigeria kushiriki mafunzo ambayo yalichukua siku Tano. Pongezi hizo zimetolewa leo Julai 5,2024 na…

Luis Miqquisone atimkia Songo

Isri Mohamed Siku chache baada ya kutemwa na wekundu wa Msimbazi, aliyekuwa Winga wa Simba, Luis Miquissone amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya UD do Songo kwa ajili ya msimu ujao wa 2024/25. Miquissone amerejea UD do Songo baada…

UNESCO rasmi kuiunga mkonoTanzania mageuzi ya kidigitali

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetangaza utayari wake wa kuiunga mkono Tanzania katika juhudi za kuimarisha juhudi za kuleta mabadiliko ya kidijitali nchini. Hayo yamesemwa na Tawfik Jelassi, Mkurugenzi Msaidizi wa…

Mfumo wa NaPA unasomana na mifumo mingine’

Na Mwandishi Wetu, WHMTH ar es Salaam Mratibu Msaidizi wa Mfumo wa Anwani za Makazi, Arnold Mkude amewatoa hofu wananchi kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi NaPA kusomana na mifumo mingine akibainisha kwamba hilo ni jambo lililozingatiwa tangu awali na…